Zab 9:15-16
Zab 9:15-16 SUV
Mataifa wamezama katika shimo walilolifanya; Kwa wavu waliouficha imenaswa miguu yao. BWANA amejidhihirisha na kutekeleza hukumu; Amemnasa mdhalimu kwa kazi ya mikono yake.