Zab 9:10-11
Zab 9:10-11 SUV
Nao wakujuao jina lako wakutumaini Wewe, Maana Wewe, BWANA hukuwaacha wakutafutao. Mwimbieni BWANA akaaye Sayuni, Yatangazeni kati ya watu matendo yake.