Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 85:9-12

Zab 85:9-12 SUV

Hakika wokovu wake u karibu na wamchao, Utukufu ukae katika nchi yetu. Fadhili na kweli zimekutana, Haki na amani zimehusiana. Kweli imechipuka katika nchi, Haki imechungulia kutoka mbinguni. Naam, BWANA atatoa kilicho chema, Na nchi yetu itatoa mazao yake.

Soma Zab 85