Zab 69:9-10
Zab 69:9-10 SUV
Maana wivu wa nyumba yako umenila, Na laumu zao wanaokulaumu zimenipata. Nilipolia na kuiadhibu roho yangu kwa kufunga, Ikawa laumu juu yangu.