Zab 69:29-30
Zab 69:29-30 SUV
Nami niliye maskini na mtu wa huzuni, Mungu, wokovu wako utaniinua. Nitalisifu jina la Mungu kwa wimbo, Nami nitamtukuza kwa shukrani.