Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 69:1-2

Zab 69:1-2 SUV

Ee Mungu, uniokoe, Maana maji yamefika mpaka nafsini mwangu. Ninazama katika matope mengi, Pasipowezekana kusimama. Nimefika penye maji ya vilindi, Mkondo wa maji unanigharikisha.

Soma Zab 69