Zab 66:3-4
Zab 66:3-4 SUV
Mwambieni Mungu, Matendo yako yatisha kama nini! Kwa ajili ya wingi wa nguvu zako, Adui zako watakuja kunyenyekea mbele zako. Nchi yote itakusujudia na kukuimbia, Naam, italiimbia jina lako.