Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 66:18-19

Zab 66:18-19 SUV

Kama ningaliwaza maovu moyoni mwangu, Bwana asingesikia. Hakika Mungu amesikia; Ameisikiliza sauti ya maombi yangu.

Soma Zab 66