Zab 66:10-12
Zab 66:10-12 SUV
Kwa maana umetupima, Ee Mungu, Umetujaribu inavyojaribiwa fedha. Ulituingiza ndani ya wavu, Na kuweka viunoni mwetu mzigo uliotulemea. Uliwapandisha watu Juu ya vichwa vyetu. Tulipita motoni na majini; Ukatutoa na kutuleta kunako wingi.