Zab 63:7-9
Zab 63:7-9 SUV
Maana Wewe umekuwa msaada wangu, Na uvulini mwa mbawa zako nitashangilia. Nafsi yangu inakuandama sana; Mkono wako wa kuume unanitegemeza. Bali waitafutao nafsi yangu, ili kuiharibu, Wataingia pande za nchi zilizo chini.