Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 62:1-2

Zab 62:1-2 SUV

Nafsi yangu yamngoja Mungu peke yake kwa kimya, Wokovu wangu hutoka kwake. Yeye tu ndiye mwamba wangu na wokovu wangu, Ngome yangu, sitatikisika sana.

Soma Zab 62

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zab 62:1-2

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha