Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 55:16-19

Zab 55:16-19 SUV

Nami nitamwita Mungu, Na BWANA ataniokoa; Jioni, asubuhi, na adhuhuri nitalalama na kuugua, Naye ataisikia sauti yangu. Ameiokoa nafsi yangu iwe salama, asinikaribie mtu, Maana walioshindana nami walikuwa wengi. Mungu atasikia na kuwajibu; Ndiye Yeye akaaye tangu milele. Mageuzi ya mambo hayawapati hao, Kwa hiyo hawamchi Mungu.

Soma Zab 55