Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 51:1-3

Zab 51:1-3 SUV

Ee Mungu, unirehemu, Sawasawa na fadhili zako. Kiasi cha wingi wa rehema zako, Uyafute makosa yangu. Unioshe kabisa na uovu wangu, Unitakase dhambi zangu. Maana nimejua mimi makosa yangu Na dhambi yangu i mbele yangu daima.

Soma Zab 51

Picha za Aya za Zab 51:1-3

Zab 51:1-3 - Ee Mungu, unirehemu,
Sawasawa na fadhili zako.
Kiasi cha wingi wa rehema zako,
Uyafute makosa yangu.
Unioshe kabisa na uovu wangu,
Unitakase dhambi zangu.
Maana nimejua mimi makosa yangu
Na dhambi yangu i mbele yangu daima.Zab 51:1-3 - Ee Mungu, unirehemu,
Sawasawa na fadhili zako.
Kiasi cha wingi wa rehema zako,
Uyafute makosa yangu.
Unioshe kabisa na uovu wangu,
Unitakase dhambi zangu.
Maana nimejua mimi makosa yangu
Na dhambi yangu i mbele yangu daima.Zab 51:1-3 - Ee Mungu, unirehemu,
Sawasawa na fadhili zako.
Kiasi cha wingi wa rehema zako,
Uyafute makosa yangu.
Unioshe kabisa na uovu wangu,
Unitakase dhambi zangu.
Maana nimejua mimi makosa yangu
Na dhambi yangu i mbele yangu daima.Zab 51:1-3 - Ee Mungu, unirehemu,
Sawasawa na fadhili zako.
Kiasi cha wingi wa rehema zako,
Uyafute makosa yangu.
Unioshe kabisa na uovu wangu,
Unitakase dhambi zangu.
Maana nimejua mimi makosa yangu
Na dhambi yangu i mbele yangu daima.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zab 51:1-3