Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 50:9-12

Zab 50:9-12 SUV

Sitatwaa ng’ombe katika nyumba yako, Wala beberu katika mazizi yako. Maana kila hayawani ni wangu, Na makundi juu ya milima elfu. Nawajua ndege wote wa milima, Na wanyama wote wa mashamba ni wangu Kama ningekuwa na njaa singekuambia, Maana ulimwengu ni wangu, navyo viujazavyo.

Soma Zab 50