Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 47:6-8

Zab 47:6-8 SUV

Mwimbieni Mungu, naam, imbeni; Mwimbieni mfalme wetu, naam, imbeni. Maana Mungu ndiye mfalme wa dunia yote, Imbeni kwa akili. Mungu awamiliki mataifa, Mungu ameketi katika kiti chake kitakatifu.

Soma Zab 47