Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 4:6-8

Zab 4:6-8 SUV

Wengi husema, Nani atakayetuonyesha mema? BWANA, utuinulie nuru ya uso wako. Umenitia furaha moyoni mwangu, Kupita yao wanapozidishiwa nafaka na divai. Katika amani nitajilaza na kupata usingizi mara, Maana Wewe, BWANA, peke yako, Ndiwe unijaliaye kukaa salama.

Soma Zab 4

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zab 4:6-8

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha