Zab 39:1-2
Zab 39:1-2 SUV
Nalisema, Nitazitunza njia zangu Nisije nikakosa kwa ulimi wangu; Nitajitia lijamu kinywani, Maadamu mtu mbaya yupo mbele yangu. Nalikuwa sisemi, nalinyamaa kimya, Sina faraja, maumivu yangu yakazidi.