Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 37:30-31

Zab 37:30-31 SUV

Kinywa chake mwenye haki hunena hekima, Na ulimi wake husema hukumu. Sheria ya Mungu wake imo moyoni mwake. Hatua zake hazitelezi.

Soma Zab 37