Zab 34:9-10
Zab 34:9-10 SUV
Mcheni BWANA, enyi watakatifu wake, Yaani, wamchao hawahitaji kitu. Wana-simba hutindikiwa, huona njaa; Bali wamtafutao BWANA hawatahitaji kitu cho chote kilicho chema.