Zab 34:6-7
Zab 34:6-7 SUV
Maskini huyu aliita, BWANA akasikia, Akamwokoa na taabu zake zote. Malaika wa BWANA hufanya kituo, Akiwazungukia wamchao na kuwaokoa.