Zab 34:21-22
Zab 34:21-22 SUV
Uovu utamwua asiye haki, Nao wamchukiao mwenye haki watahukumiwa. BWANA huzikomboa nafsi za watumishi wake, Wala hawatahukumiwa wote wamkimbiliao.