Zab 33:13-15
Zab 33:13-15 SUV
Toka mbinguni BWANA huchungulia, Huwatazama wanadamu wote pia. Toka mahali pake aketipo Huwaangalia wote wakaao duniani. yeye aiumbaye mioyo yao wote Huzifikiri kazi zao zote.