Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 31:1-4

Zab 31:1-4 SUV

Nimekukimbilia Wewe, BWANA, Nisiaibike milele. Kwa haki yako uniponye, Unitegee sikio lako, uniokoe hima. Uwe kwangu mwamba wa nguvu, Nyumba yenye maboma ya kuniokoa. Ndiwe genge langu na ngome yangu; Kwa ajili ya jina lako uniongoze, unichunge. Utanitoa katika wavu walionitegea kwa siri, Maana Wewe ndiwe ngome yangu.

Soma Zab 31