Zab 28:6-7
Zab 28:6-7 SUV
Na ahimidiwe BWANA. Maana ameisikia sauti ya dua yangu; BWANA ni nguvu zangu na ngao yangu. Moyo wangu umemtumaini, Nami nimesaidiwa; Basi, moyo wangu unashangilia, Na kwa wimbo wangu nitamshukuru.