Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 25:16-18

Zab 25:16-18 SUV

Uniangalie na kunifadhili, Maana mimi ni mkiwa na mteswa. Katika shida za moyo wangu unifanyie nafasi, Na kunitoa katika dhiki zangu. Utazame teso langu na taabu yangu; Unisamehe dhambi zangu zote.

Soma Zab 25