Zab 25:1-4
Zab 25:1-4 SUV
Ee BWANA, nakuinulia nafsi yangu, Ee Mungu wangu, Nimekutumaini Wewe, nisiaibike, Adui zangu wasifurahi kwa kunishinda. Naam, wakungojao hawataaibika hata mmoja; Wataaibika watendao uhaini bila sababu. Ee BWANA, unijulishe njia zako, Unifundishe mapito yako