Zab 18:16-17
Zab 18:16-17 SUV
Alipeleka kutoka juu akanishika, Na kunitoa katika maji mengi. Akaniokoa na adui yangu mwenye nguvu, Na wale walionichukia, Maana walikuwa na nguvu kuliko mimi.