Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 16:8-11

Zab 16:8-11 SUV

Nimemweka BWANA mbele yangu daima, Kwa kuwa yuko kuumeni kwangu, sitaondoshwa. Kwa hiyo moyo wangu unafurahi, Nao utukufu wangu unashangilia, Naam, mwili wangu nao utakaa kwa kutumaini. Maana hutakuachia kuzimu nafsi yangu, Wala hutamtoa mtakatifu wako aone uharibifu. Utanijulisha njia ya uzima; Mbele za uso wako ziko furaha tele; Na katika mkono wako wa kuume Mna mema ya milele.

Soma Zab 16

Picha za Aya za Zab 16:8-11

Zab 16:8-11 - Nimemweka BWANA mbele yangu daima,
Kwa kuwa yuko kuumeni kwangu, sitaondoshwa.
Kwa hiyo moyo wangu unafurahi,
Nao utukufu wangu unashangilia,
Naam, mwili wangu nao utakaa kwa kutumaini.
Maana hutakuachia kuzimu nafsi yangu,
Wala hutamtoa mtakatifu wako aone uharibifu.
Utanijulisha njia ya uzima;
Mbele za uso wako ziko furaha tele;
Na katika mkono wako wa kuume
Mna mema ya milele.Zab 16:8-11 - Nimemweka BWANA mbele yangu daima,

Mna mema ya milele.