Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 148:12-13

Zab 148:12-13 SUV

Vijana waume, na wanawali, Wazee, na watoto; Na walisifu jina la BWANA, Maana jina lake peke yake limetukuka; Adhama yake i juu ya nchi na mbingu.

Soma Zab 148