Zab 147:3-5
Zab 147:3-5 SUV
Huwaponya waliopondeka moyo, Na kuziganga jeraha zao. Huihesabu idadi ya nyota, Huzipa zote majina. Bwana wetu ni mkuu na mwingi wa nguvu, Akili zake hazina mpaka.