Zab 142:2-4
Zab 142:2-4 SUV
Nitafunua mbele zake malalamiko yangu, Shida yangu nitaitangaza mbele zake. Nilipozimia roho uliyajua mapito yangu; Katika njia niendayo wamenifichia mtego. Utazame mkono wa kuume ukaone, Kwa maana sina mtu anijuaye. Makimbilio yamenipotea, Hakuna wa kunitunza roho.