Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 141:1-4

Zab 141:1-4 SUV

Ee BWANA, nimekuita, unijie hima, Uisikie sauti yangu nikuitapo. Sala yangu ipae mbele zako kama uvumba, Kuinuliwa mikono yangu kama dhabihu ya jioni. Ee BWANA, uweke mlinzi kinywani pangu, Mngojezi mlangoni pa midomo yangu. Usiuelekeze moyo wangu kunako jambo baya, Nisiyazoelee matendo yasiyofaa, Pamoja na watu watendao maovu; Wala nisile vyakula vyao vya anasa.

Soma Zab 141