Zab 140:6-8
Zab 140:6-8 SUV
Nimemwambia BWANA, Ndiwe Mungu wangu; Ee BWANA, uisikie sauti ya dua zangu. Ee MUNGU Bwana, nguvu za wokovu wangu, Umenifunika kichwa changu siku ya vita. Ee BWANA, usimpe asiye haki tamaa zake, Usiifanikishe hila yake, wasije wakajiinua.