Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 139:23-24

Zab 139:23-24 SUV

Ee Mungu, unichunguze, uujue moyo wangu, Unijaribu, uyajue mawazo yangu; Uone kama iko njia iletayo majuto ndani yangu, Ukaniongoze katika njia ya milele.

Soma Zab 139

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zab 139:23-24

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha