Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 134:1-2

Zab 134:1-2 SUV

Tazama, enyi watumishi wa BWANA, Mhimidini BWANA, nyote pia. Ninyi mnaosimama usiku Katika nyumba ya BWANA. Painulieni patakatifu mikono yenu, Na kumhimidi BWANA.

Soma Zab 134