Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 127:3-5

Zab 127:3-5 SUV

Tazama, wana ndio urithi wa BWANA, Uzao wa tumbo ni thawabu. Kama mishale mkononi mwa shujaa, Ndivyo walivyo wana wa ujanani. Heri mtu yule Aliyelijaza podo lake hivyo. Naam, hawataona aibu Wanaposema na adui langoni.

Soma Zab 127