Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 127:1-3

Zab 127:1-3 SUV

BWANA asipoijenga nyumba Waijengao wafanya kazi bure. BWANA asipoulinda mji Yeye aulindaye akesha bure. Kazi yenu ni bure, mnaoamka mapema, Na kukawia kwenda kulala, Na kula chakula cha taabu; Yeye humpa mpenzi wake usingizi. Tazama, wana ndio urithi wa BWANA, Uzao wa tumbo ni thawabu.

Soma Zab 127

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zab 127:1-3

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha