Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 123:1-2

Zab 123:1-2 SUV

Nimekuinulia macho yangu, Wewe uketiye mbinguni. Kama vile macho ya watumishi Kwa mkono wa bwana zao Kama macho ya mjakazi Kwa mkono wa bibi yake; Hivyo macho yetu humwelekea BWANA, Mungu wetu, Hata atakapoturehemu.

Soma Zab 123