Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 119:97-99

Zab 119:97-99 SUV

Sheria yako naipenda mno ajabu, Ndiyo kutafakari kwangu mchana kutwa. Maagizo yako hunitia hekima kuliko adui zangu, Kwa maana ninayo sikuzote. Ninazo akili kuliko wakufunzi wangu wote, Maana shuhuda zako ndizo nizifikirizo.

Soma Zab 119