Zab 119:90-91
Zab 119:90-91 SUV
Uaminifu wako upo kizazi baada ya kizazi, Umeiweka nchi, nayo inakaa. Kwa hukumu zako vimesimama imara hata leo, Maana vitu vyote ni watumishi wako.