Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 119:82-84

Zab 119:82-84 SUV

Macho yangu yamefifia kwa kuitazamia ahadi yako, Nisemapo, Lini utakaponifariji? Maana nimekuwa kama kiriba katika moshi, Sikuzisahau amri zako. Siku za mtumishi wako ni ngapi, Lini utakapowahukumu wale wanaonifuatia?

Soma Zab 119