Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 119:41-43

Zab 119:41-43 SUV

Ee BWANA, fadhili zako zinifikie na mimi, Naam, wokovu wako sawasawa na ahadi yako. Nami nitamjibu neno anilaumuye, Kwa maana nalitumainia neno lako. Usiliondoe neno la kweli kinywani mwangu kamwe, Maana nimezingojea hukumu zako.

Soma Zab 119