Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 119:129-136

Zab 119:129-136 SUV

Shuhuda zako ni za ajabu, Ndiyo maana roho yangu imezishika. Kufafanusha maneno yako kwatia nuru, Na kumfahamisha mjinga. Nalifunua kinywa changu nikatweta, Maana naliyatamani maagizo yako. Unigeukie, unirehemu mimi, Kama iwahusuvyo walipendao jina lako. Uzielekeze hatua zangu kwa neno lako, Uovu usije ukanimiliki. Unikomboe na dhuluma ya mwanadamu, Nipate kuyashika mausia yako. Umwangazie mtumishi wako uso wako, Na kunifundisha amri zako. Macho yangu yachuruzika mito ya maji, Kwa sababu hawaitii sheria yako.

Soma Zab 119

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha