Zab 119:115-116
Zab 119:115-116 SUV
Enyi watenda mabaya, ondokeni kwangu, Niyashike maagizo ya Mungu wangu. Unitegemeze sawasawa na ahadi yako, nikaishi, Wala usiniache niyaaibikie matumaini yangu.