Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 115:16-18

Zab 115:16-18 SUV

Mbingu ni mbingu za BWANA, Bali nchi amewapa wanadamu. Sio wafu wamsifuo BWANA, Wala wo wote washukao kwenye kimya; Bali sisi tutamhimidi BWANA, Tangu leo na hata milele.

Soma Zab 115