Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 106:24-25

Zab 106:24-25 SUV

Wakaidharau nchi ile ya kupendeza, Wala hawakuliamini neno lake. Bali wakanung’unika hemani mwao, Wala hawakuisikiliza sauti ya BWANA.

Soma Zab 106