Zab 103:15-17
Zab 103:15-17 SUV
Mwanadamu siku zake zi kama majani; Kama ua la kondeni ndivyo asitawivyo. Maana upepo hupita juu yake, kumbe haliko! Na mahali pake hapatalijua tena. Bali fadhili za BWANA zina wamchao Tangu milele hata milele, Na haki yake ina wana wa wana