Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mit 4:18-19

Mit 4:18-19 SUV

Bali njia ya wenye haki ni kama nuru ing’aayo, Ikizidi kung’aa hata mchana mkamilifu. Njia ya waovu ni kama giza; Hawajui ni kitu gani kiwakwazacho.

Soma Mit 4

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mit 4:18-19

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha