Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mit 31:8-9

Mit 31:8-9 SUV

Fumbua kinywa chako kwa ajili yake aliye bubu; Uwatetee watu wote walioachwa peke yao; Fumbua kinywa chako, uhukumu kwa haki; Uwapatie maskini na wahitaji haki yao.

Soma Mit 31

Picha ya aya ya Mit 31:8-9

Mit 31:8-9 - Fumbua kinywa chako kwa ajili yake aliye bubu;
Uwatetee watu wote walioachwa peke yao;
Fumbua kinywa chako, uhukumu kwa haki;
Uwapatie maskini na wahitaji haki yao.