Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mit 31:13-15

Mit 31:13-15 SUV

Hutafuta sufu na kitani; Hufanya kazi yake ya mikono kwa moyo. Afanana na merikebu za biashara; Huleta chakula chake kutoka mbali. Tena huamka, kabla haujaisha usiku; Huwapa watu wa nyumbani mwake chakula; Na wajakazi wake sehemu zao.

Soma Mit 31